July 23 FC Barcelona ilitembelea San Francisco State University mahali ambapo ilikutana na mkali mwingine wa Basketball Harrison Barnes wa Golden State Warrios akiwa na kombe la NBA walilotwaa mwaka huu, huku Fc Barcelona wakiwa na kombe la klabu bingwa barani Ulaya.
Kitu kilichovutia zaidi pale Harrison Barnes alipokuwa anawafundisha Iniesta, Busquets na Pique namna ya kucheza Basketball lakini Gerard Pique ndiye alionekana kuelewa haraka mafunzo ya mchezo huo.
0 maoni:
Post a Comment