Tuesday, June 16, 2015


Mlinzi wa Borussia Dortmund na Ujerumani, Mats Hummels amefunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu, Cathy Fischer.
Ndoa ya mshindi huyo wa kombe la dunia ambaye miezi ya karibuni amekuwa akihusishwa kujiunga na Manchester United alifunwga jana mjini Munich.
Hummels mwenye miaka 26 alipigwa picha akiwa na mapambo yenye rangi ya jezi ya Borussia kwenye suti yake maridadi kabisa.
Ripoti nchini Ujerumani zinasema kuwa wapenzi hao walianza mahusiano tangu Hummels alipokuwa na miaka 19.


Mlinzi huyu mwenye miaka 26 ametupia suti yenye mapambo yenye rangi ya jezi ya Dortmund

Hummels amefunga ndoa ya kiserikali katika mahakama ya Mandelstrasse, mjini Munich

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog