Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Tanga, Bw. Gabriel masanja (wapili kulia) akipeana mkono na Bw. Rajpaul Singh Dhani (kulia)
dereva wa gari ya mashindano iliyoiwakilisha benki hiyo katika mchezo
wa mashindano ya magari uliyofanyika mkoani Tanga hivi katibuni. Wengine
katika picha ni wafanyakazi wa benki hiyo tawi la Tanga.
Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Tanga, Bw. Gabriel masanja (wa kwanza kushoto) pamoja na Bw. Rajpaul Singh Dhani (Wa
tatu kushoto) dereva wa gari (iliyopo mbele yao)ya mashindano
iliyoiwakilisha benki hiyo katika mchezo wa mashindano ya magari
uliyofanyika mkoani Tanga hivi katibuni. Wengine katika picha ni
wafanyakazi wa benki hiyo tawi la Tanga.
0 maoni:
Post a Comment