Dj Slay akiendesha kipindi huku Wasanii wanaotarajia kupanda Jukwaani leo kwenye Tamasha la Srengeti Fiesta 2014 Bukoba wakiwa wanamsikiliza kwa makini wakati wa Maswali na majibu kutoka kwa Wananchi. Tamasha hilo linafanyika leo katika Uwanja wa Kaitaba kwa mara ya kwanza hapa mjini Bukoba.Wasanii wa Bongo flava akiwa tayari kwenye Kipindi kilichokuwa kinaendeshwa na Dj Slay akiwakutanisha wasanii ambao watapanda kutoa Burudani ya uhakika kwenye jukwaa moja la Serengeti Fiesta 2014 hapa Mjini Bukoba leo Ijumaa. Ambapo walipata muda wa kujibu maswali kutoka kwa Wananchi na kuwajibu hapo hapo na kila msanii akijigamba kufanya vyema jukwaani.
Msanii wa Kizazi kipya Madee akijibu swali
Mr. Blue na Christian Bella wakifurahia jambo ndani a Studio za Kasibante Fm 88.5
Msanii Barnas akisikiliza jambo kwa makini.
Jux, Ney wa Mitego na Mr. Blue
Mr. Blue nae zamu yake ilifika
Mtangazaji wa Radio Kasibante FM 88.5 Dj Slay akiendesha kipindi hicho
Linah na Recho
Furaha zikatawala...kwa Wasanii hawa wa Kike
0 maoni:
Post a Comment