BUKOBA MPOOO PEOPLEEEE!!!!!
Baada ya Mwanza kukata utepe wa Serengeti fiesta ya mwaka huu kwa siku ya jumamosi. harakati za kusambaza upendo sasa zinahamia hapa Bukoba kwa siku leo ijumaa ya tarehe 15.08.2014 na ikitoka hapa itahamia kahama ambapo itakuwa siku ya jumapili ya tarehe 17 mwezi huu. Sasa nikupe mchongo wa Mastaa wako utakaoweza kuwashuhudia"
Ommy Dimpoz,
Young Killer,
Barnaba,
Madee,
Jux,
Ney wa Mitego,
Stamina,
Mr. Blue,
Recho,
Linah,
Super Nyota, Saida Karoli,
Khadija wa Maumivu na
BK sunday.
kumbuka, shangwe hili lote utaweza kulifaidi kwa kiingilio cha shilingi 5000 tu itakayokupa nafasi wewe mkazi wa Bukoba kupenya ndani ya Kaitaba Stadium na kwa wewe mkazi wa Kahama kujichanganya kahama stadium sehemu pekee ambapo historia ya fiesta ya kwanza itaandikiwa.
SERENGETI FIESTA 2014 SAMBAZA UPENDO.......NI SHEEEEEDAH!!
steji ikiwa tayari kwa kamuzi leo hii Ijumaa katika Uwanja wa Kaitaba
0 maoni:
Post a Comment