Mbunge
wa Bukoba Mjini (CCM), Balozi Khamis Kagasheki(kushoto, ndie akuwa
Mgeni rasmi katika Tamasha la Serengeti fiesta 2014 katika Uwanja wa
Kaitaba mjini Bukoba, Tamasha lililofanyika leo Ijumaa 15.08.2014.
Tamasha hili litaendelea tena kwenye miji mingine na sasa baada ya
kufanyika hapa Bukoba linahamia kwenye Mji wa Kahama Jumapili kesho
kutwa tarehe 17.Viongozi
mbalimbali wa Serikali, Pamoja na Wananchi mbalimbali walihudhulia kwa
wingi katika Uwanja huo wa Kaitaba. katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Bukoa
Mheshimiwa Zipporah Pangani na kulia ni Bw. Denis.Mkurugenzi
wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Group, Ruge Mutahaba
akizungumza jambo na kumkaribisha Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis
Kagasheki jukwaani na kusalimiana na Wakazi wa Bukoba waliokuwa kwenye
Tamasha hilo la Serengeti Fiesta 2014 kwenye Uwanja wa Kaitaba.Kikundi cha Muziki cha Hapa Bukoba kilichoshinda na kujinyakulia zawadi kupitia shindano la Serengeti fiesta 2014 Supa Nyota.Mbunge
wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki ambaye ndie alikuwa mgeni
Rasmi kwa Furaha akizungumza jambo Jukwaani kwenye Tamasha la Fiesta
2014 lililofanyika kwa mara ya kwanza hapa Bukoba.Dada(katikati aliyeshinda nae akiwa jukwaani mbele ya MashabikiMkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Group, Ruge Mutahaba *(kulia, akiwapongeza washindi na kuwapa maelekezo Msanii wa Muziki Ras Nod wa hapa Bukoba akiwajibika kuwaburudisha mashabiki wake jukwaaniSehemu
ya umati wa wakazi wa Mji wa Bukoba na maeneo jirani wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri kwenye Tamasha la Serengeti fiesta 2014 katika
Uwanja wa Kaitaba leoMsanii
wa Hapa Ntymbani Bukoba Nshomile akiimba mbele ya Mashabiki wake kwenye
Uwanja wa Kaitaba wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Fiesta 2014, Tamasha
lililofanyika kwa mara ya kwanza katika Mkoa huu wa Kagera na
kushuhudiwa na Wakazi wengi wa Mji huu na Vitongoji vyake.Nshomile Family akiutendea haki wimbo wake!Wadau
na Vinywaji vyao aina ya Serengeti wakifuatilia kwa karibu Tamasha hilo
huku wakifurahia jambo kwenye Uwanja wa Kaitaba ambako ndipo Tamasha
hilo limefanyikia leo ijumaa.Msanii
mkongwe wa nyimbo za asili ya Kihaya Nchini mwenye sauti ya aina yake
Saida Karoli akiwa na Kundi lake zima wakipagawisha Wakaazi wa Bukoba
leo kwenye Tamasha la Fiesta 2014 Mjini Bukoba.Saida Karoli akicharaza ngoma tatu kwa mpigo na kuwashangaza Mashabiki wake.Ngoma ikishika kasi jukwaani!!Saida
Karoli akikonga nyoyo za umati wa Wakazi wa Mji wa Bukoba waliojitokeza
katika Uwanja wa Kaitaba katika tamasha la Serengeti fiesta 2014.Kundi zima la Saida Karoli likijiachia kwa nyimbo za Asili jukwaani Saida Karoli akifanya yake Jukwaani..Nyomi...Mikono juu!!!Simu nazo zikawa Viganjani juu kwa juu!! Kuamsha Fiesta!!! Upendo nao ukisambazwa kitaratiiibu!Hakika ilikuwa ni Sheeeeda!!! Hii ni Historia Bukobaaaa!!!Willy O. Rutta yakamshinda...akabaki hana hili wala lile!! Zote ni Shangwe na Furaha za Fiesta 2014 Bukoba Usikuu huu...Sambaza upendo na hamsha hamsha za hapa na pale!Mmoja wa wasanii anaefanya vyema kwa sasa katika anga ya muziki wa bongofleva Recho akifanya yake jukwaani!!Msanii wa Bongoflava Jux nae aliwajibika kisawasawa jukwaaniMikono juu!! Linah na waimbaji wake wakifanya yao kwenye Usiku wa FiestaLinah akipawawisha Mashabiki wake Msanii wa Bongoflava BarnabasBarnaba
akiwapandisha kwa hamsha hamsha mashabiki wake katika Tamasha la Fiesta
2014 lililofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba na kushuhudiwa na Maelfu ya
Watu.Tamasha ili la Fiesta lilikuwa ni la kwanza hapa Bukoba tangu yazinduliwe hapa Nchini Tanzania..Barnaba akiendelea na Kuburudisha kwa nyimbo tofauti tofauti katika Tamasha hilo Mjini Bukoba.Dada alishindwa kuvumilia!! Furaha ilimteka kwa BarnabasMsanii wa bongofleva Mr. BlueBk Sande akishambulia Jukwaa!Msanii
wa bongofleva anaekuja kwa kasi katika mchakato wa kuchanganya nyimbo
za asili na za kizazi kipya kutoka hapa hapa Bukoba, BK Sande akiimba
baadhi ya nyimbo zake Mbele ya Maelfu ya wakaazi wa Mji wa Bukoba
katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014Msanii
wa bongofleva wa Bukoba, BK Sande akiimba kuwabueudisha Wahaya wenzake
kwa miondoko ya Kihaya zaidi...nyumbani ni Nyumbani!Msanii wa Bongoflava Ommy Dimpoz ulifika Muda wake..Kwa kuwa ilikuwa ni mara yake ya kwanza kufika Bukoba...salaam kutoka kwa wadau wake ilikuwa mhimu sana Ommy DimpozNipe tano..!Alikuwa na wenzake Jukwaani na walikuwa na staili ya aina yao kuichezaji!Ommy Dimpoz akicheza na Vijana wake kwa staili yao ya kipekee!Ommy Dimpoz akiendesha kamuzi la aina yake jukwaaniNey wa Mitego jukwaaniMsanii
wa muziki wa kizazi kipya, Ney wa Mitego akiimba moja ya nyimbo zake
katika Tamasha la Fiesta 2014 katika Uwanja wa Ksitaba.Dj Fetty na wewe Unaimba?? Dj
Fetty nae ilikuwa siku yake ya kwanza kufika Bukoba...hivyo na yeye
alijikusanyia mashabiki wake akiwa jukwaani....Furaha yake alijikuta
anacheza na kuongea maneno machache na Wakaazi wa Bukoba akiwa jukwaani
Wakati Tamasha la Fiesta likiendelea katika Uwanja wa Kaitaba..!Dj Fetty akiachia 1,2...jukwaani.Willy O. Rutta akiteta jambo na Ruge Mutahaba
0 maoni:
Post a Comment