Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada
ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti wa Maamur Upanga jijini
Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada
ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti wa Maamur Upanga jijini
Dar es Salaam leo asubuhi.
Baadhi ya waumini wa dini ya
kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika masjid Maamur Upanga
jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro)
0 maoni:
Post a Comment