Sunday, February 9, 2014


Michuano ya 22 ya Olimpiki ya majira ya baridi imeanza jana huko Sochi nchini Russia. Mabadiliko mengi yametokea katika miaka sita na nusu ya maandalizi yake Na wakati mamilioni ya watu duniani wakiwa wameelekeza macho na masikio yako huko, kujua nani atashinda nini na nani atavunja rekodi gani, tayari rekodi kubwa zaidi katika michuano hiyo imevunjwa hata kabla ya kuanza kwake. Na tuipitie safari safari ya maandalizi ya michuano hii mpaka ilipofikia na baadhi ya vikwazo ilivyopambana navyo

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog