Mabao ya Real jana yamefungwa na
mchezaji ghali duniani, Gareth Bale dakika ya saba, Karim Benzema dakika
ya 25 na 76 na Jese dakika ya 64.
Ushindi huo unaifanya Real itimize pointi 57 sawa na Atletico Madrid baada ya kila timu kucheza mechi 23, lakini inapanda kileleni kwa wastani wake mzuri wa mabao.
Barcelona yenye pointi 54 baada ya kucheza mechi 22, inaweza kurejea kileleni ikiifunga Sevilla leo kwa kuwa inawazidi wastani mzuri wa mabao Real na Atletico.Chanzo: binzubeiry

0 maoni:
Post a Comment