Sunday, February 9, 2014


Dakika ya mwisho mwa kipindi cha kwanza katika dakika ya 44 Barcelona wakapata bao

Kipindi cha pili uwanja ukiwa na maji baada ya mvua kunyesha kwa muda katika dakika ya 56 Lionel Messi akafunga bao la tatu na kufanya mabao kuwa 3-1.


Dakika za lala salama dakika ya 88 Cesc Fábregas aliyetokea benchi kwa kuchukua nafasi ya Pedro katika dakika ya 73 akawaongezea bao Barcelona na kufanya 4-1 

Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia
Messi tena akiifanyia Barcelona 3-1 dhidi ya wenyeji Sevilla
Mapema kipa Victor Valdes alifungwa na  Alberto Moreno katika dakika ya 15

Wachezaji wa  Sevilla wakipongezana baada ya kupata bao wakiwa wa kwanza.

 Piotr Trochowski na Sanchez kwenye patashika

Hakunaga!!! Tupo kileleni tena leo!!!

Meneja wa Barcelona  'Tata' Martino akitoa maelekezo leo


0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog