Tuesday, February 11, 2014


MC Chaku  akiwa na mmoja ya wakazi wa Mbagala tayari kwa kuchagua mshindi wa Championi Shinda Mahela.
...Kuponi za Championi Shinda Mahela zikiwa tayari kwa ajili ya droo.

...Mchezesha droo akichambua kuponi katika Viwanja vya Mbagaka Zakhem jijini Dar.
MC Chaku akimfunga kitambaa mkazi wa Mbagala ili amchague mshindi wa Championi Shinda Mahela
Msimamizi wa Bodi ya Bahati Nasibu, Mrisho Milao (kushoto) akikabidhiwa kuponi ya mshindi wa milioni 10 za Championi Shinda Mahela.


MC Chaku (kulia) na mkazi wa Mbagala wakitaja jina la mshindi wa milioni 10 za shindano la Championi Shinda Mahela ambaye ni Kizito George.
MC Chaku akimwaga kuponi za Championi Shinda Mahela
...MC Chaku akiweka sawa kuponi hizo.
Msomaji wa Championi kutoka Mbagala akitafuta mshindi wa tisheti.
Wasomaji wakijaza kuponi za Championi Shinda Mahela kabla ya Bahati Nasibu kuanza.
Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah
Burudani wakati wa droo hiyo ya mwisho.
Burudani ikiwa imepamba moto

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog