Saturday, January 18, 2014


Kipindi cha kwanza dakika ya nne Jay Rodriguez anaipatchikia bao timu yake ya Southampton akiwa ndani ya box. Bao hilo limepatikana baada ya kupewa basi safi kutoka kwa Morgan Schneiderlin. Dakika ya 31 mchezaji wa Southampton Dejan Lovren akaongeza bao jingine baada ya kupigwa mpira kama kona. Dakika moja kupita kwenye dakika ya 32 mchezaji wa Sunderland Fabio Borini nae akaonesha makali yake akaipatia bao Sunderland.

Jay Rodriguez akishangilia bao lake baada ya kuweka 1-0 dhidi ya wenyeji Sunderland mapema kipindi cha kwanza dakika ya nne. Rodriguez akipongezwa na wachezaji wenzie wa Southampton baada ya kufunga bao. Dejan Lovren akitupia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Sunderland. Fabio Borini akitupia na yeye baada ya dakika moja kupita na kuwapa bao Sunderland baada ya kupata krosi safi kutoka kwa Adam Johnson  Bosi Mauricio Pochettino akimpa maelekezo mchezaji
Mwenyekiti mpya wa Southampton Katharina Liebherr baada ya Klabu hiyo kumkubali na kumteua kwa kile kilioonekana azibe nafasi ya Nicola Cortese.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog