Sunday, January 5, 2014

Manchester United wakicheza Mechi hii kwao Old Trafford kuwakaribisha Swansea City kwenye FA CUP, United ndio walianza kufungwa mapema dakika ya 12 kupitia mchezaji Wayne Routledge baada ya kuwachomoka mabeki na kupaisha mpira hadi langoni mwa United, Dakika 6 baadae United wakasawazisha bao hilo kupitia mchezaji wao Javier Hernández baada ya mpira kupigwa kama kona na na hatimae Chicharito kumalizia mpira huo na kufanya matokeo kuwa 1-1.
 


 







 



C
FA CUP: RAUNDI YA TATU
Jumapili Januari 5
Nottingham Forest 5 v West Ham 0
Sunderland 3 v Carlisle 1
Derby 0 v Chelsea 2
Liverpool 2 v Oldham 0
Port Vale 2 v Plymouth 2
Manchester United v 1 Swansea 2

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog