Sunday, July 7, 2013

SIKU MOJA MOJA SIO MBAYA KUVUNJA SHERIA


 Askari wa jeshi la polisi wakiwa wamepakiwa katika pikipiki  wakisafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine wakati wakitekeleza majukumu yao ya kazi maarufu kama mshikaki kiten do ambacho ni uvunjaji wa sheria za usalama barabarani.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog