Sunday, July 7, 2013


DK SHEIN ATEMBELEA MAONYESHO YA SABA SABA LEO

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Leila Issa Ali,katika mabanda ya washiriki wa maonesho ya sabasaba alipotembelea leo  jijini Dar es Salaam, (katikati) Waziri wa  Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog