Ukiachilia ustaa wao na ufundi wao
wanapokua uwanjani, kuna wachezaji ambao wamekua kivutio kikubwa kwa
mashabiki wao kutokana na muonekano wao kwa ujumla.
Mara nyingi wamekuwa wakitumika katika
matangazo mbalimbali ya biashara lakini kuna mtandao mmoja umeweza
kutaja listi ya mastaa 10 wa soka duniani ambao wana muonekano mzuri.
1. Cristiano Ronaldo
amekuwa na mafanikio makubwa kupitia soka, muonekano wake wa kuvutia
umemfanya aingize kiasi kikubwa cha fedha kupitia matngazo anayoingia
nayo mikataba kila wakati
2. Kiungo Ricardo Kaka anatokea Brazil..kwa sasa anaichezea klabu ya Sao Paulo kwa mkopo akitokea Orlando City
3. Moja ya vitu vinavyomwingezea mvuto David Villa
ni staili yake ya nywele ambayo hubuni mara kwa mara..pamoja na kuwa
mmoja wa wachezaji wenye umri mkubwa lakini bado amekuwa na muonekano
mzuri
4. Iker Cassilas
ni mmoja wa makipa wenye mafanikio makubwa sana kutokana na uwezo wake
akiichezea Real Madrid, amekuwa ni mmoja wa wachezaji wenye muenekano
mzuri
5. Robin Van Persie ni Mshambuliaji wa timu ya Manchester United
6. Fernando Torres Ni mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya Taifa ya Hispania
7. Mario Gotze ni kiungo mwenye umri mdogo kutoka klabu ya Taifa ya Buyern Munich ya Ujerumani, amezaliwa mwaka 1992
8. Ukiachia ufundi wake uwanjani akiwa na mafanikio mengi ndani ya klabu yake ya Barcelona, Lionel Messi ameingia kwenye orodha ya wachezaji wenye muonekeano mzuri
9. Gerard Pique ni mlinzi wa timu ya Taifa ya Hispania na Barcelona, amezaliwa mwaka 1987 na ni mume wa mwanamuziki Shakira
10. Cesc Fabregas ni kiungo wa timu ya Taifa ya Hispania na klabu ya Chelsea, Ni baba wa mtoto mmoja wa kike na ana amezaliwa mwaka 1987
0 maoni:
Post a Comment