Wachezaji wa Juventus wakisherekea kutwaa Coppa Italia baada ya kuilaza Lazio bao 2-1 kwenye dakika za majeruhi.
Kepteni wa Juventus Giorgio Chiellini akiwa amebeba Kombe walilolitwaa usiku baada ya kuibuka na Ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Juventus.
Tangu 1995 na sasa wanalinyanyua kwa mara ya 10
Carlos Tevez na Roberto Pereyra wakiwa na Mwali wao kwenye chumba cha kubadilishia nguo
Juve sasa wanaelekezea nguvu zao Uefa Champions Ligi dhidi ya Barcelona
Juve sasa wanasonga mbele kukwaana na Barca kwenye Uefa Champions
Mbele ya Mashabiki!! Juve wakishangilia ushindi wao baada ya ukame
Alessandro Matri akipongezwa
Matri akitupia bao kwenye dakika za nyongeza huku kipute kikifika dakika ya 97
Mpaka na jezi alivua!
Juventus walimzunguka Matri kwa kuwapatia bao la ushindi kwenye Stadio OlimpicoAlessandro Matri akishangilia bao lake la dakika za majeruhi baada ya kuifungia bao la ushindi Juventus kwa
2-1.
Juve Wamefanikiwa kutwaa Coppa Italia kwa mara yao ya 10 kulitwaa Kombe hili ambalo hawajalibeba tangu 1995 na imewafanya wawe wametwaa Dabo huku pia wakiwania Trebo, yaani Mataji Matatu, kwa vile pia Juni 6 watacheza Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI na Barcelona huko Berlin, Germany.Timu Kepteni wa Lazio Stefan Radu akipongezwa baada ya kuifungia bao la Mapema dakika ya 4 na kufanya 1-0.

0 maoni:
Post a Comment