PUNDE
Azam FC uso kwa uso na Mabingwa Young Africans katika Uwanja wa Taifa
mechi ambayo endapo Azam itashinda itajihakikishia nafasi ya pili.
Young Africans baada ya mchezo huu watakabidhiwa kombe la Ubingwa
#VPL2015.
MSIMAMO WAKE ULIVYO KWA SASA KABLA YA MTANANGE HUU
MSIMAMO WAKE ULIVYO KWA SASA KABLA YA MTANANGE HUU
0 maoni:
Post a Comment