Wenyeji
Everton waliichapa Newcastle Bao 3-0 kwa Bao za Dakika ya 20 za John
McCarthy, Penati ya Romelu Lukaku ya Dakika ya 56 na la 3 kwenye Dakika
za Majeruhi kupitia Ross Barkley.
Newcastle walimaliza Mechi hii wakiwa Mtu 10 baada ya Beki wao Fabricio Coloccini kupewa Kadi Nyekundu katika Dakika ya 59.
Dakika ya 90 Ross Barkley aliwafungia bao la tatu na la mwisho likihitimisha bao kuwa 3-0 dhidi ya Newcastle na Mtanange kumalizika Everton wakiibuka kidedea.
Kipindi cha pili dakika ya 56 Romelu Lukaku aliwafungia bao la pili kwa mkwaju wa penati na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Newcastle United.
J. McCarthy dakika ya 20 kipindi cha kwanza anaipatia bao Everton. Ndani ya Goodison Park raha tupu!!

0 maoni:
Post a Comment