Baadhi ya Wachezaji wa Chelsea akiwemo Terry wakiwa vichwa chini baada ya kugawana pointi na Sant's
Mpaka dakika zinayoyoma ilikuwa ni 1-1
John Terry akiwa hoi!!
Dakika ya 19 Southampton walisawazisha bao kwa penati kupitia kwa Mchezaji wao Dusan Tadic na kufanya 1-1. 1-1
Dusan Tadic hakufanya makosa!
Kipindi
cha pili pamoja na kwamba kilikuwa cha kushambuliana hakuna aliyeliona
lango la Mwenzake. Chelsea wakiwakosa kosa mara kadhaa Saint's.John Terry hapa alikosa bao wazi..
Hapa ni England Diego Costa!!
Chelsea Chupuchupu wapate bao hapa...mpira uligonga nguzo
Kashikashi
ilitokea ndani ya eneo hatari la penati na Southampton mchezaji wake
kuangusha na hatimae kupata penati na kusawazisha kwa mkwaju huo wa
penati kupitia kwa Dusan Tadic.
Kipindi cha kwanza dakika 11 Diego Costa aliipatia bao kwa kichwa Chelsea na kufanya 1-0 dhidi ya Southampton.
0 maoni:
Post a Comment