Monday, March 16, 2015


Rooney akishangilia kwa Mashabiki Old Trafford baada ya kuifungia bao la tatu Man United mbele ya Mashabiki 75,112.Boxing!!Rooney akishangilia kwa aina yake baada ya kuifungia bao la mwisho Man United leo dhidi ya SpursDakika ya 34 Kepteni Wayne Rooney alipiga Bao la 3 alipounasa Mpira karibu ya Mstari wa Kati na kuwapita Mabeki wa Spurs Dier na Rose na kisha kumhadaa Kipa Hugo Lloris na kufunga.Mara baada Mpira kutinga wavuni, Rooney alishangilia kwa kucheza Ngumi na kisha kujidondosha chini akivunga amepigwa Ngumi na kuzirai ikiwa ni jibu la habari zilizozagaa mitandaoni hii Leo kuwa alipigwa Ngumi na kuzirai Jikoni Nyumbani kwake wakati akifanya mzaha wa kucheza Ngumi na Mchezaji wa zamani wa Man United Phil Bardsley ambae sasa anacheza Stoke City.Rooney chini akipongezwa na Ashley Young3-03-0 Rooney dakika ya 34 anakatiza kwenye ngome ya Tottennham na kufunga bao la tatu dhidi ya Spurs ambao mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika hawakuwa na kitu.Wayne Rooney scores the third goal for Manchester UnitedJuan Mata is challenged by Danny RoseJuan Mata akichuana Marouane Fellaini akipongezwa na MataUnited wakiendesha! Michael Carrick akiwaongoza baada ya kufunga bao la pili kushangilia.2-0Dakika ya 19 Michael Carrick aliwachapa bao la kichwa Spurs na kufanya 2-0. Marouane Fellaini dakika ya 9 aliipachikia bao la kwanza man United na kufanya 1-0 dhidi ya Spurs.Fellaini akishangilia baada ya kufunga bao la kwanzaHarry Kane hakuonekana leo..kafunikwa Old TraffordVIKOSI:
Manchester United XI:
De Gea, Valencia, Jones, Smalling, Blind, Carrick, Herrera, Mata, Fellaini, Young, Rooney.
Tottenham XI: Lloris, Walker, Dier, Vertonghen, Rose, Bentaleb, Mason, Chadli, Eriksen, Townsend, Kane

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog