Monday, February 9, 2015



 Lionel Messi akishangilia bao lake dhidi ya  Athletic Bilbao usiku huu likiwa bao lake la kufungua lango.

Messiakipongezwa!!

Asante baba!! Xavi akimpongeza Messi pamoja na Suarez

Luis Suarez nae katupia la pili

Straika Suarez akifanya yake baada ya kuifungia bao Barca uski huuBAO za Barcelona zimefungwa na Lionel Messi dakika ya 15, Luis Suárez dakika ya 26 Lionel Messi alipachika tena bao dakika ya 62, Neymar aliongeza bao la nne katika dakika ya 64. Pedro alimalizia bao la tano kwa Barca dakika ya 86 na kufanya 5-2.
Athletic Bilbao wao walianza kurudisha bao zao zikifungwa kipindi cha pili dakika ya 59 kupitia kwa Mikel Rico na bao lao la pili lilifungwa dakika ya 66 na Aritz Aduriz. Pia mtanange huu ulimalizika kwa Atletico Bilbao wakiwa 10 Uwanjani baada ya mwenzao Etxeita 
kuoneshwa kadi nyekundu.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog