Gerard
Piqué akishangilia bao lake kipindi cha kwanza dakika ya 28. bao
lililodumu mpaka dakika 90 kumalizika na Barcelona kujichukulia alama 3
muhimu wakiwa nyumbani kwao kwenye mchezo wa Uefa Champions League hatua
ya makundi.Lionel Messi akifukuziwa na Bonge la msitu...Dakika ya 28 Gerard Piqué aliifungia bao la kichwa Barcelona na kuitanguliza 1-0 dhidi ya timu ya APOEL Nicosia.
0 maoni:
Post a Comment