'
Watu wa hela: Makamu mwenyekiti wa United Edward Woodward (katikati), Joel Glazer (kushoto) na Richard Arnold (kulia)
MANCHESTER wanatarajia kutangaza rekodi
ya mapato leo ambayo inakadriwa kufikia paundi milioni 420 kwa msimu
uliopita, huku wakipata faida ya paundi milioni 25 kutokana na mauzo ya
mamilioni ya jezi duniani kote.
Mapato hayo ya mwaka pia yatahusisha
fidia waliyomlipa kocha David Moyes na benchi lake la ufundi, lakini
fedha hizo hazitahusisha hasara yoyote waliyoipata baada ya kushindwa
kufuzu michuano ya UEFA kwa msimu huu.
Jezi ya heshima Old Trafford: Angel di Maria ndio mchezaji aliyeamua kuvaa jezi ya kipee namba 7 Manchester United
Kaongeza nguvu: Di Maria aliwavutiwa wengi katika mechi yake ya kwanza Manchester United na ataimarika zaidi akiendelea kucheza.
Taarifa zinafafanua kuwa mapato ya jumla yanakadriwa kuwa paundi milioni 429 hadi 432, na ni ongezeko la asilimia 18 hadi 19.
0 maoni:
Post a Comment