Aston Villa na Newcastle zimetoka Sare ya 0-0 kwenye Mechi ya kwanza ya Ligi Kuu England iliyochezwa Villa Park hii Leo.
Newcastle walimaliza Mechi hii wakiwa Mtu 10 baada ya Mike Williamson kupewa Kadi ya Njano katika Dakika ya 86 na Dakika 4 baadae kupewa Kadi ya Njano ya pili na kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu.Mashabiki wa Newcastle United wakipamba Mechi yao.Kocha wa England Roy nae alikuwa kwenye mtanange huo..Mashabiki wakiwapamba Mashujaa wao..Michael Williamson kwenye patashika!Kocha wa Aston Villa Paul Lambert akishuhudia Vijana wake wakimenyana vilivyo na Newcastle United.Mike Dean akiwapanga kwa kumimina Spray kupigwa Frii kiki.

0 maoni:
Post a Comment