Gareth Bale akituma shuti kali na kuifunga Inter Milan
Bale akishangilia bao lake kwenye Uwanja wa California Memorial
Real Madrid na Inter Milan zilitoka Sare 1-1 lakini Inter kuibuka kidedea baada ya kushinda Mikwaju ya Penati 3-2.
Alfajiri ya Leo, Inter Milan wameibwaga Real Madrid Bao 3-2 baada ya kutoka Sare Bao 1-1.
Bao la Real lilifungwa na Gareth Bale na la Inter kufungwa na Mauro Icardi kwa Penati.
Icardi akipongezana na Ruben Botta baada ya kupata bao
Kipa wa Inter Milan Juan Pablo Carrizo akipongezwa baada ya kuokoa mikwaju miwili ya penati usiku wa kuamkia leo.
0 maoni:
Post a Comment