Sunday, July 27, 2014


Asanteni Vijana! Wachezaji wa Man United wakipongezana mara baada ya kupata bao lililofungwa na Rooney katika kipindi cha kwanza.

Furaha!!

Kipa wa AS Roma Bogdan lobont  alionekana kuvurugwa jana kipindi cha kwanza..
Wachezaji wa Man United wakipongezana katika kipindi cha kwanza baada ya kuwalaza bao 3-0 Roma.Wakati bao mbili za As Roma zilifungwa kipindi cha pili moja likiwa na mkwaju wa penati..Rooney akituma!!
Rooney mapema aliumiza Mtu!Luke Shaw akimdhibiti Mihai Balasa wa AS Roma

Rooney akimbana mchezaji wa As Roma Mattia
Manchester United fans watch from the stand ahead of the pre-season friendly match between Manchester United and AS Roma at Sports Authority Field at Mile High
Mashabiki wa Manchester United

Dakika ya 36 Manchester United walianza kufungiwa bao na Wayne na kufanya 1-0 dhidi ya Roma na katika kipindi hicho hicho cha kwanza katika dakika ya 39 Manchester United wakapata bao la pili na kufanya 2-0, Bao likifungwa na Mata.
Dakika ya 44 Rooney anaifungia bao la tatu United na kufanya 3-0 dhidi ya Roma huko Denver, Colorado na Mtanange unakwenda Mapumziko!

Shabiki wa United akiwekwa mkononi baada ya kushindwa kujizuia!!Mashabiki wa AS Roma wakishangilia timu yaoWayne Rooney scores their first goal during the pre-season friendly match between Manchester United and AS Roma at Sports Authority Field at Mile High in DenverRooney alifunga bao mbili na bao moja likifungwa na MataWayne Rooney in action with Mattia Destro during the pre-season friendly match between Manchester United and AS Roma at Sports Authority Field at Mile High in DenverRooney na Mattia wakikabana Juan Mata scores past Alessio RomangnoliJuan Mata akifunga baoJuan Mata alicheka na nyavuDanny Welbeck in action with Mehdi Benatia
Dakika ya 75 kipindi cha pili Pjanic anawapachikia bao Roma na kufanya 3-1.
Dakika ya mwishoni dakika za lala salama 88 AS Roma walilazimisha na kupata penati iliyofungwa na Totti na mpira kumalizika kwa 3-2, United wakiibuka na Ushindi.
Ben Amos nae alionja joto mwishoni mwa kipindi cha pili!!Mashabiki wa United wakimtupia bango Chicharito!!Asante Mata!!

Van Gaal mambo safi
Totti alimalizia bao la pili kwa mkwaju wa penati!Ben Amos hakuona ndani!!
VIKOSI:
Manchester United: Johnstone; Jones, Evans, Blackett; Valencia, Cleverley (c), Herrera, James, Welbeck; Mata, Rooney.
Subs: De Gea, Lindegaard, Amos, Smalling, Shaw, Michael Keane, Fletcher, Young, Zaha, Kagawa, Nani, Lingard, Will Keane.

Roma: Skorupski; Calabresi, Benatia, Romagnoli, Emanuelson; Uçan, Keita, Paredes; Iturbe, Destro, Florenzi

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog