Monday, June 9, 2014

Rihanna alikabidhiwa tuzo na mchekeshaji, Kevin Hart tuzo zinazojulikana kama Guys Choice Awards zilizofanyika Los Angeles.

Rihanna akiwa na tuzo ya Most Desirable Woman baada ya kukabidhiwa. Wiki iliyopita baada ya Rihanna kupokea tuzo ya mitindo ya CFDA, akiwa na kivazi kikimuonesha nusu mtupu kilikuwa gumzo kiasi cha kushambuliwa na waimbaji wa kundi la TLC kuwa anajiuza huku Jay Z akijitokeza kutoa ushauri wake. Hata kabla wiki haijaisha, Rihanna alitangazwa tena kuwa mshindi wa tuzo ya Most Desirable Woman kwenye tuzo zinazojulikana kama Guys Choice Awards

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog