Thursday, February 13, 2014





wafanyabiashara wa kahama leo wafungua maduka yao baada ya mkuu wa wilaya ya kahama kusema wafungue maduka yao kwani wanawaumiza sana wananchi kwa kukosa huduma muhimu kwani wananchi wao hawana makosa katika kusa huduma muhimu




0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog