Tuesday, February 4, 2014

Chelsea wanapata bao kipindi cha kwanza baada ya kufanya mashambulizi makali, Bao la Ivanovic la dakika ya 32 kipindi cha kwanza na wanatangulia kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Manchester
City.
Kipindi cha pili Chelsea pia waliendeleza mashambulizi makali kwa timu ya Chelsea na wao Chelsea wamezinduka na kufanya mashambulizi lakini hawakuweza kuifunga timu ya Chelsea. Ngome ya Chelsea ilikuwa ngumu sana leo huku City wakionekana muda mwingi kuchoka.Matokeo hayo yanakuwa faraja zaidi kwa Arsenal ambayo sasa inatuliza roho kileleni mwa Ligi Kuu kwa pointi zake 55, baada ya timu zote hizo kucheza mechi 24.Mapema David Silva chupu chupu aifunge Blues...Yaya Toure akiendesha...Ivanovic akituma!!!Branislav Ivanovic akiachia shuti kali na kumfunga kipa wa City Hart kwenye uwanja wao Etihad StadiumIvanovic akishangilia bao lakeSuper Bran: Ivanovic celebrates giving Chelsea the lead in the first halfHakunaga!! 1-0Ivanovic akishangilia bao lake kipindi cha kwanzaWachezaji wa Blues wakimpongeza mwenzao Ivanovic baada ya kuwapachikia bao.Hittingh the back of the net: Ivanovic shot goes past Joe Hart in the City goal1-0
Jose Mourinho ...mambo safi baada ya Ivanovic kupata bao katika dakika ya 32 kipindi cha kwanza.
Kocha Jose Mourinho na makeke yake!!FLATTENED: Manchester City's David Silva (centre) and teammates look dejected
Silva kwenye patashika!!Edin Hazard akikatisha katikatiDavid Luiz na Silva wakioneshana kazi..John Terry akichuana na Edin DzekoEdin Dzeko kwenye patashika!!Etihad Stadium...kimenuka!!!
VIKOSI:
Man City: Hart 6, Zabaleta 6, Kompany 5, Nastasic 5, Kolarov 6, Jesus Navas 6, Demichelis 6, Toure 7, Silva 6, Dzeko 5, Negredo 6 (Jovetic 57)
Subs not used: Milner, Rodwell, Clichy, Pantilimon, Boyata, Lopes.
Booked: Demichelis, Kolarov, Nastasic.
Chelsea: Cech 6, Ivanovic 7, Cahill 7, Terry 7, Azpilicueta 6, Matic 7,Luiz 7, Ramires 5, Willian 6 (Mikel 90), Hazard 8 (Ba 90), Eto'o 6 (Oscar 83)
Subs not used: Cole, Lampard, Salah, Schwarzer
Booked: Ivanovic, Matic, Willian
Goals: Ivanovic 32.
Attendance: 47,364
Man of the match: Eden Hazard
Referee: Mike Dean 7
Managers:
Manuel Pellegrini 5
Jose Mourinho 7

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog