Friday, January 17, 2014

 

 Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh.Fabian Massawe akimkaribisha mgeni Rasmi leo kwenye kikao hicho cha kukamilisha Ukaguzi Maalum" Exit Meeting"  Cha mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali leo Januari 17.2014 Mjini Bukoba ambapo kikao hicho kilianza mapema saa 5 Asubuhi.

Viongozi kufungua kikao 


Katibu Tawala wa Mkoa Kagera Bw. Nassor Mnambila.

hapo ndo ukimbini
Meya wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani  pamoja na Madiwani wa Manispaa ya Bukoba Mkurugenzi mpya wa manispaa ya bukoba Ambekiswe shemwela




Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Ludovick Utouh akitoa taarifa ya ukaguzi maalum leo Bukoba.
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri  (katikati) ambaye pia alimwakilisha Waziri mkuu akimsikiliza kwa makini Bw. Ludovick Utouh




Bw. Ludovick Utouh akiendelea kutoa Taarifa ya Ukaguzi maalum leo



















Mstahiki Meya Anatory Amani (kulia) kushoto ni Mzee Rwangisa, Ukumbuke pia Mzee huyo Rwangisa ndiye aliyemwachia nafasi Meya Anatory Amani.

Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri ndie aliyemalizia kwa kutoa Maelezo ya Serikali.

Baadhi ya Madiwani wakiwa   makini.
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri akiendelea kutoa Maelezo ya Serikali. Kuhusu Suruhisho hilo ambapo yamebainika Makosa ya Meya Anatory kufanya makubaliano bila idhini ya Madiwani na Taratibu za serikali, Basi ajipime Mwenyewe na Kujiudhuru mara moja kwa Maslahi ya Manispaa ya Bukoba.
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri akiendelea kutoa maelezo ya serikali kiujumla na kukamilisha ukaguzi huo.
Watumishi wa Manispaa wachukuliwe hatua
Bw. Khamis Kaputa avuliwe Madaraka
Mhandisi,Mweka hazina nk wapoteze vyeo vyao!
Wakandarasi wote waliopata fedha bila taratibu wazirejeshwe.Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh.Fabian Massawe (kulia) akisikitika baada ya kumsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri ambaye aliyemwakilisha vyema Waziri Mkuu.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog