Monday, January 13, 2014

 

Kipindi cha pili dakika ya 76 Christian Benteke akatupia bao kwa kichwa baada ya kupata mpira uliopigwa kutoka kati na kuwapita mabeki wa Arsenal na kumfunga kipa wa Gunners na kufanya mtanange kuwa 2-1. Ushindi huu wa Arsenal unawarudisha kileleni wakiwa na pointi 48 huku Aston Villa wakibaki pale pale katika nafasi ya 11 wakiwa na pointi 23.

 

 

 viongozi wote wa timu mbili wakisalimiana kabla ya mtanange kuanza live Villa Park kushoto ni Paul Lambert kulia ni Arsene Wenger.

.




.
Kocha wa Aston Villa Paul Lambert

 
 






 

 

 
Olivier Giroud (kushoto) akishangilia bao lake Jack Wilshere 34' • Olivier Giroud 35  Kipindi cha kwanza kimewaendea vyema Arsenal wakiwa ugenini Villa Park kucheza na wenyeji Aston Villa baada ya kuichapa bao mbili za haraka katika dakika ya 34 Jack Wilshere ameifunga bao la kwanza na baadae baada ya dakika moja kupita Oliver Giround akamaliza biashara kwa kufunga bao jingine katika dakika ya 35. Mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zinamalizika Arsenal wameenda mapumziko wakiwa juu ya bao 2-0 dhidi ya wenyeji Aston Villa.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog