After school bash!! tamasha kubwa la kila mwaka ,linalokuwa
linawaunganisha wanafunzi Town baada ya shule zao
kufungwa hivyo kupata fursa ya kujumuika pamoja, pia kuwakutanisha na wasanii
usiku huu..WCB president na team yangu yoote tulikuwepo
na tukawapa kile walichokikosa kwa mda
mlefu wakiwa busy na masomo...
angalia baadhi ya picha za matukio hali ilivyokuwa
angalia baadhi ya picha za matukio hali ilivyokuwa
My brother on one n two,Romy Jones
love from the heart...........
0 maoni:
Post a Comment