Monday, October 7, 2013

 
Ommy Dimpoza akipagawisha wakazi wa Carlifornia  45  
katika show yake iliyofanyika Jumamosi Oktoba 5.
 
Ommy Dimpoz na Merce Mfanga Ligate
. 
Msanii Mwanamuziki wa kizazi kipya Lady C kutoka 
Uganda akienda pozi kwa pozi na msanii 
wa kizazi kipya Ommy Dimpoz wakati alipofanya 
show Los Angeles, California usiku wa kuamkia Jumapili.

                                                              Shabiki amepaga  wa.
 
Poz kwa Poz ilikuwa balaa.
 
                                                        Mama Ligate akikusanya mafwedha!
 
 kushoto ni Mwanamuziki wa Nigeria 2Face aliyetamba na wimbo
 wake wa My african Queen pamoja na mwananmuziki toka
 Uganda Zana Lady C na Bw. Deo kulia.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog