True Fans Kwenye Kili Music Tour Kahama
Wakipata Show Ya Ukweli, Ilifanyika Uwanja wa
Recho na madansa wake
katika steji ya Kili Music Tour Kahama
Ben Pol akiwaimbisha mashabiki kwa hisiaBarnaba Boy jukwaani
Linex katika backstage ya Kili Music Tour
Izzo Bizness na Barnaba wakishambulia jukwaa kwa pamoja
Baada ya kushuka jukwaani
mashabiki hawakutaka kupoteza
nafasi ya kupiga nae picha.
Kala Jeremiah
akiwauliza mashabiki kama wameilewa Kikwetu kwetu
Lady Jaydee na Profesa Jay wakiimba Joto HasiraProfesa Jay akiifunga Kili Music Tour Kahama
Mashabiki wakinyoosha mikono juu
kuwashukuru wakali wa muziki waliopanda jukwaani
0 maoni:
Post a Comment