Farid Kubanda alias Fid Q aka Ngosha The Don, he’s a real Hip Hop
super star hapa Bongo baada ya mangoma yake kibao ku-bang kwa hewa.
Fid Q decided kuanzisha darasa la Hip Hop kwa lengo la kuwapa skillz wasanii katika utungaji pamoja na kufokafoka.
Lakini wakati Kubanda akiwa kwenye mission yake mwenye nyumba aliamua
kumpiga bonge la boot na kumwonyesha mlango wa kutokea fastafasta.
Kweli baada ya Ngosha kustopishwa class pia ilisimama, lakini Fid Q sio mtu wa ku-give up coz currently ameongea.
“Narudisha darasa langu la hip hop baada ya sehemu niliyokodi mwazo
kuwa na magumashi ya kupandishiwa kodi na nikaona ni-stop ku-provide
ma-skillz, but now nimepata place maeneo ya TMJ Mikocheni na pako very
suitable kwa wanafunzi.” Ngosha ze swagger Don added , “Class itaanza
soon na wanafunzi 35 wapo permanently so ninawakaribisha na wengine wote
who likes Hip Hop”
0 maoni:
Post a Comment