Sunday, July 14, 2013



Inasikitisha kwa kweli.
-------------------------------------------------
Mtoto huyu katika Picha ni mtoto wa miezi nane (8) kutoka Nchini china katika Jimbo la Xuzhou,amabe kwa mapenzi ya Mungu ameweza kumsaidia baada ya mama yake kumchoma mara 90 na Mkasi katika uso wake kama anavyoonekana katika picha baada ya kufikishwa Hospitali.
Alishonwa nyuzi 100 katika majeraha yaliokuwa katika uso wake.
 
 Huyu ni mjomba wake aliemsaidia na pia alijitolea kutoa Damu iliokuwa ikiitajika ili aongezewe.

 
 Alipokuwa akipatiwa matibabu hospital baada ya tukio hilo.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog