Rais
wa Simba Sport Club Evans Aveva wa tatu kutoka kushoto akiwa na
Washindi wa bahati nasibu Pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup
ImanKajula kushoto na Msemaji wa Timu hiyo Manara Rais wa Simba Evans
Aveva Akikabidhi Zawadi kwa Mmoja wa Washindi. Uongozi wa klabu ya Simba
leo umetoa zawadi kwa washindi wa bahati na sibu iliyochezeshwa siku ya
Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya
Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Zawadi zilizo kabidhiwa kwa washindi ni jezi pamoja simu
0 maoni:
Post a Comment