Monday, June 1, 2015


Bondia Francis Cheka (kulia) akipambana na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane
Bondia Francis Cheka (kulia) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane

Bondia Shabani Kaoneka (kulia) akimtupia konde la nguvu Zumba Kukwe wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kaoneka alishinda mpambano huo kwa pointi

Bondia Seleman Zugo (kushoto) akipambana na Twaha Kiduku wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita
Bondia Francis Cheka (kulia) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog