Monday, June 1, 2015


Adidas imekizindua kiatu maalum cha Lionel Messi kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Uefa Champions League kati ya timu yake ya Fc Barcelona dhidi ya Juventus.
Messi atakitumia kiatu hicho pia kwenye mashindano ya Copa America.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog