Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa
kuamkia leo May 12, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku
tatu nchini Algeria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond
Mushi alipowasili kutoka Algeria katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo May 12, 2015
baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini Algeria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es
salam Suleiman Kova, Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi, Mkuu wa
Wilaya ya Temeke Mhe. Sophia Mjema na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.
Paul Makonda alipowasili kutoka Algeria katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo
May 12, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini
Algeria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipanda ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Houari Boumediene jijini Algiers Jumatatu May 11, 2015 baada ya
kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiaga wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Houari Boumediene jijini Algiers Jumatatu May 11, 2015
baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Marubani na
Wafanyakazi wa Shirika la ndege la Tassili la Algeria baada ya kuwsili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam usiku wa kuamkia leo May 12, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake
rasmi ya siku tatu nchini Algeria.
PICHA NA IKULU
0 maoni:
Post a Comment