Sina mbavu mieee nipisheeee!!! Chicharito baada ya kuizima Atletico Madrid usiku huu!
Chicharito
akishangilia bao lake la pekee baada ya kuifungia na kuipa Ushindi Real
usiku huu dhidi ya Atletico Madria kwenye marudiano ya Klabu Bingwa
Ulaya. Bao hilo limewapeleka Real Madrid Nusu Fainali ya 31 na Droo ya
Nusu Fainali itachezeshwa Ijumaa ya wiki hii.
Javier
Hernández aliwafungia bao Real Madrid dakika za majeruhi na kufanya 1-0
dhidi ya Atletico Madrid, Ni Baada ya kupewa pasi ndani ya boksi na
Staa wa Real Cristiano Ronaldo na kufunga bao hilo la Ushindi. Real
wamesonga hatua ya Nusu faonali kwa Ushindi wa bao la Chicharito.
Mtanange huu pia Atletico Madrid walimaliza pungufu wachezaji 10
Uwanjani baada ya mwenzao Arda Turan kuoneshwa kadi njano ya pili na
kuoneshwa kadi Nyekundu kwa kumchrzea rafu mbaya mchezaji wa Real Madrid
Sergio Ramos.Cristiano Ronaldo akiendesha..mpira wakati wa kipindi cha kwanza
Chicharito hoi! akishangaa kuona mpaka kipindi cha kwanza kinakatika bado 0-0, Ngoma ngumu!
Ronaldo akiachia shuti
Ronaldo tena..
Arda Turan akioneshwa kadi ya njano
Sergio Ramos kwenye patashika mpira wa kichwa!
Arda Turan akimwangaisha Fabio wa Real
Ronaldo akijishika kichwa katika kipindi cha kwanza
Sergio Ramos chini akijiuguza katika kipindi cha kwanza.
Kikosi cha Real Madrid kilichoanza dhidi ya Atletico Madrid
Kikosi cha Atletico Madrid
Diego Semeone na Carlo Ancelotti wakisaliniana kabla ya kipute kuanza Bernabeu
Mashabiki wa Real madrid wakiwapungia Mastaa wao
VIKOSI:
Real Madrid: Casillas, Carvajal, Varane, Ramos, Coentrao, Pepe, Kroos, Isco, Rodriguez, Ronaldo, Hernandez.
Akiba: Navas, Arbeloa, Khedira, Lucas Silva, Illarmendi, Jese.
Atletico Madrid: Oblak, Juanfran, Miranda, Godin, Jesus Gamez, Tiago, Koke, Saul, Arda, Griezmann, Mandzukic.
Akiba: Moya, Siqueira, Gimenez, Raul Garcia, Gabi, Jimenez, Torres.
Refa: Felix Brych
Robo Fainali-Mechi za Marudiano
Mechi zote mbili kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku
Jumatano Aprili 22
Real Madrid vs Atletico Madrid [Santiago Bernabeu, Madrid, Spain] [0-0]
AS Monaco vs Juventus [Stade Louis II, Monaco, France] [0-1]
Wachezaji wa Atletico Madrid Joao Miranda, Antoine Griezmann na Mario
Mandzukic wakipasha kwenye Uwanja wa Bernabeu usiku huu, Tayari kwa
marudiano ya Robo Fainal, Mshindi kwenda Nusu Fainali