Manchester
United imekubaliana na AS Monaco ya France kumsaini Straika wa Colombia
Radamel Falcao kwa Mkopo na wakati huo huo Straika wao Javier Hernandez
anahamia Real Madrid ya Spain pia wa Mkopo.
Falcao anatarajiwa kuwasili Jijini Manchester kupimwa afya yake na tayari Chicharito nae yuko huko Madrid kupimwa afya.
Falcao alijiunga na AS Monaco Mei 2013 kwa Dau la Pauni Milioni 50 kutoka Atletico Madrid na kufunga Bao 11 katika Mechi alizoichezea.
Msimu huu Falcao amefunga Bao 2 katika Mechi 3.
Dili ya Falcao kwenda Man United pia ina makubaliano kuwa wanaweza kumnunua moja kwa moja kwa Dau la Pauni Milioni 43.5Radamel Falcao akiwa na Kocha Msaidizi Ryan Giggs kwenye picha ya pamojaMarcos Roja aliyesainiwa tangu wiki iliyopita nae tayari alishatua lakini swala la Visa bado ni kitendawili mpaka sasa kitu kilichomkwamisha mpaka sasa kutocheza mechi yoyote na Klabi hiyo ya Mashetani wekundu.

0 maoni:
Post a Comment