Oscar Pistorius amekutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp
MWANARIADHA Oscar Pistorius anakabiliwa na kifungo gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Jaji wa mahakamu kuu ya Afrika kusini,
Thokozile Masipa mapema laisema siku ya wapendanao 'Valentine Day' mwaka
jana, Pistorius alimpiga risasa mpenzi wake huyo.
Mara zote Pistorius amekuwa akikiri
kuhusika na kifo chake nyumbani kwake mjini Pretpria, lakini alisema
hakukusudia kumpiga risasi mpenzi wake na alimpiga risasi nne kwa
bastola yake.
Oscar Pistorius akiwasili mahamani siku ya pili leo kujibu mashitaka yake
+11
Jaji Thokozile Masipa akitangaza kuwa Pistorius hajakutwa na hatia ya kuuza kwa kukusudia jana alhamisi.
Mwanariadha huyo alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuua kwa kukusudia, lakini ushindi juu ya hilo haukujitosheleza.
Kwa mara ya pili leo, Pistorius alisimama kizimbani kujibu shitaka lake, lakini hakuonekana kuwa na hisia zozote.
Jaji Masipa aliiambia mahakama: " Kwa
kuzingatia ushahidi wote uliowasilishwa katika mahakama: Kosa la kwanza,
muuaji hajakutwa na hatia ya kuua kwa kukusudia na anaachiwa huru kwa
hilo".
"Badala yake amekutwa na hatia ya kuua"
0 maoni:
Post a Comment