Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa
Barnaba Boy akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoni Tanga mwishoni mwa wiki
Wadau nao walikuwepo kupata selfie ya Globu ya jamii ndani ya Fiesta.
Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.
Kwa jijna la Kisanii anajiita Vmoney a.k.a Vanessa Mdee akiimba kwa hisia jukwaani
Ommy Dimpoz akiimbajuukwani wimbo wake wa Nani kama Mama
Ommy Dimpoz na vijana wake wakilishambulia jukwaa.
Ommy Dimpoz akimpagawisha shabiki wake jukwaani kwa staili ya Kantangazee...!
Ali Kiba na vijana wake wakilishambulia jukwaa la Fiesta
Msanii wa muziki wa kizazi ajulikanae kwa jina la Khadija Maumivu akiiimba jukwaani kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani,mkoani Tanga lililofanyika mwishoni mwa wiki.
Anajiita Rais wa Manzese,Madee akiwaimbisha wakazi wa jiji la Tanga waliojoitokeza kwenye tamasha la Fiesha mkoani Tanga mwishoni mwa wiki.
Sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza kwenye tamasha la Fiesha mwishoni mwa wiki.
Pichani kati ni msanii wa muziki wa kizazi kipya,Linah akiwa sambamba na madansa wake wakilishambulia jukwaa,mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Tanga (hawapo pichani) waliojitokeza kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani,mwishoni mwa wiki.
Maelekezo ya hapa na pale kutoka kwa mafundi mitambo na jukwaa ilikuwa ikifanyika ili mambo yaende sawa
Umati wa watu uliofurika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kupata burudani safi wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika mwishoni mwa wiki.
Ilikuwa ni Sheeddaah kwa wakazi wa jiji la Tanga ndani ya uwanja wa Mkwakwani mwishoni mwa wiki.
Rachae akiiimba jukwaani.
Sehemu ya umati mkubwa wa watu ukifuatilia yaliyokuwa yakijiri ndani ya uwanja wa Mkwakwani wakati tamasha la Fiesta 2014 likiendelea
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Rachael akionesha umahiri wake wa kucheza na kuimba mbele ya umati wa watu uliofurika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga (hawapo pichani ) kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga mwishoni mwa wiki
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Khadija Mumivu, akikonga nyoyo za mashabiki walioingia katika tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga mwishoni mwa wiki.
Kwa jina la kisanii anaitwa MO MUSIC akiwakuna wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Fiesta lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Tanga
Mmoja wa wasanii wa kundi la ngoma asili ya Baikoko toka mjini Tanga akiwajibika jukwaani wakati wa tamasha la Fiesta 2014
Umati wa watu uliofurika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kupata burudani safi wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyoka mwishoni mwa wiki.
Sehemu ya watazamaji wakiendelea kutazama yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha hilo mwishoni mwa wiki mjini Tanga.PICHA ZOTE NA MICHUZIJR-FIESTA TANGA.
0 maoni:
Post a Comment