Waendeshaji
wa Kipindi cha Filamu Monata kinachorushwa na Kituo cha Redio cha TIMES
FM 100.5 wakiendelea na majukumu katika studio za kituo hiko cha Redio
Kilichopo Kawe Jijini Dar Es Salaam wakati wa Kipindi cha Filamu Monata
leo wakati washiriki 10 Bora wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT)
walipotembelea Studio hizo
Jaji
wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) na Presenta wa Kipindi cha
Filamu Monata cha TIMES FM, 100.5 Dar Es Salaam akiendelea na kipindi
wakati washiriki 10 bora walipotembelea Kituo hiko leo kwaajili ya
Mahojiano na waendeshaji wa Kipindi hiko.
Mmoja
wa Washiriki 10 Bora wa Tanzania Movie Talents (TMT) akijibu maswali
kutoka kwa Waendeshaji wa Kipindi cha Filamu Monata kinachorushwa na
Kituo cha Redio cha TIMES FM, 100.5 Dar Es Salaam.
Mshiriki Wa Tanzania Movie Talents (TMT) akijibu maswali.
Washiriki
10 Bora wa Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa ndani ya Studio za TIMES
FM, 100.5 Dar es Salaam.Picha Zote na Josephat Lukaza
Fainali
ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kufanyika tarehe 30 August
2014 katika Ukumbi wa Mlimani City kuanzia Saa 7.30 Usiku huku viingilio
vikiwa Shilingi elfu 50 kwa VIP na Elfu 30 kwa kawaida
Burudani Kali kutolewa siku hiyo ya Fainali Huku Mc Pilipili akitoa burudani na Christian Bella
0 maoni:
Post a Comment