Balozi
mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa
Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku
ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha
kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani)
Balozi
Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania
Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania
nchini Marekani Balozi huyo alipotembelea Ubalozi huo siku ya Alhamisi
April 24, 2014 jijini Washington, DC.
Mhe. Mark Childress akipokea zawadi toka kwa Balozi Liberata Mulamula.
0 maoni:
Post a Comment