Tuesday, January 21, 2014


Kevin Mirallas akishangilia bao lake ls kipindi chs kwanza katika dakika ya 41.Kevin Mirallas baada ya kutupia..
Asante Mungu kwa bao langu hili...!!!o'

.
Pepe Mel.'''
Lukaku Hoi baada ya kusawazisha bao Diego Lugano na kufanya 1-1...''''........Makocha wote wawili walipeana mkono na kusalimiana huku Pepe Mel(kulia) akikaribishwa hapa kwa Furaha!!Kocha mpya wa West Brom manager Pepe Mel akiwa na msaidizi wake (kulia) wakitazama vijana wao
Wadhamini wa West Brom, Zoopla, wameamua kuachana na Klabu hiyo mwishoni mwa Msimu kufuatia kitendo cha Nicolas Anelka kutumia Saluti iitwayo “Quenelle" ambayo inahusishwa na Mafashisti wa Nazi na Ubaguzi kwa Mayahudi.
VIKOSI:
West Brom:
Foster, Reid, Lugano, Olsson, Ridgewell, Brunt, Morrison, Yacob, Gera, Vydra, Anelka
Subs: Myhill, Mulumbu, Berahino, Jones, Anichebe, Sessegnon, Amalfitano
Goals: Lugano 75
Everton: Howard, Coleman, Distin, Jagielka, Baines; Osman, Barry; Oviedo, McCarthy, Mirallas, Lukaku
Subs: Robles, McGeady, Hibbert, Heitinga, Stones, Vellios, Naismith
Goals: Mirallas 41

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog