Tuesday, December 17, 2013

 Kila mtu anaithamini na kuipenda tarehe ya siku 
yake ya kuzaliwa,ni siku ambayo baadhi yetu huifurahia kwa
 mitindo tofauti tofauti kulingamna 

na nafasi aliyonayo mtu husika,lakini hebu
 jiulize how it feels ndani ya hiyo siku mhimu kabisa 
unapofanyiwa kitu kizuri na cha pekee na mtu
 mhimu maishani mwako,inapendeza siyo?hivyo ndivyo
 nilivyojiskia siku ya jana baada ya 
kufanyiwa suprise ya  birthday party
 na kipenzi changu,Penniel pamoja
 na Mama yangu mpenzi,dada yangu Esma,Halima kimwana 
na familia yangu kwa ujumla.
checkout picha zikijieleze zenyewe........
Ilikuwa ni baada ya kutoka kwenye  uzinduzi wa Coke studio,kufika nyumbani  alipokelewa kwa bashasha na  Queen Darlin(aliyeshikilia cake)







,Queen Darlin na Diamond




ilivyokuwa chumbani sasa . wooow!!











Picha ya pamoja na family

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog