Thursday, December 26, 2013



Kupitia ukurasa wake wa facebook, Diamond platnumz amepost picha ya moja akimpa zawadi mshindi aliyeshinda kucheza style ya ngololo na kutangaza kuwa atawasomesha mpaka mwisho wa madarasa, then atawahamishia katika shule zenye ubora zaidi

HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA
Mmoja ya watoto watatu walioshinda kucheza ngololo.management yangu ya WCB itawasomesha miaka yote waliyobakiza shuleni ikiwa ni pamoja na kuwahamishia katika shule zilizo bora zaidi....Ahsanten sana Daresalaam kwa sapoti mliyonipa jana ....

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog